JIFUNZE FOREX KWA KISWAHILI TANZANIA part 1

Video hii inafundisha namna ya kufanya biashara ya kuuza na kununua fedha mtandaoni mwenyewe bila kumtegemea mtu

Telegram group bofya : https://t.me/RFfxAcademy

Dial : +255 ‭766 428 640‬( zingatia muda nilio sema)

Whatsapp: +255 653 687158

Music credit : https://www.bensound.com

#1_ON_TRENDING

Comments

Edger Junior1994 says:

kujiung na daras bei gn then uk pnd zip

kenny ally says:

Pesa zinazopatikana katika forex nazipataje kiualisia

Nicholaus nuru says:

I will find you

Upendo Semwamba says:

nahitaji mafunzo zaidi

kenny ally says:

Broker anamuhimu gani katika forex pia account ya Forex INA mausiano yoyote na account ya Benki ya kawaida

tech online says:

tuleteee soon part mkuu well understod

Leod Luan says:

Na jiungaje na malipo yakoje

BURUDIKA NA ELIMIKA says:

Iko poa bro Fanya ulete part 2 imeeleweka

Abdallah SAJA says:

unapatikana wapi?

Seth Charles says:

io Demo account ntaipataje

VIJIMAMBO online tv says:

Ahsante sana mkuu kwa mafunzo nitakufata hatua moja baada yanyingine unaeleweka sana

Nai Mollel says:

ni site gani au application gani iko advised kufanyia forex???

Salim Saif says:

niunge kweny group

Eric Samba says:

asante sana Evance, umeelezea vizuri sana

Daramraj Mtaalam says:

Good brother

Jeremiah Sengasu says:

umeelezea vizuri sana

brownizo abëly says:

Nice brother nimeielewa

Thomas Immler says:

cool interessant

Upendo Semwamba says:

Asye vp mbna hutoi tena videos

raphael frank says:

nataka nijue hii biashara kama una darasa lako mwalim tafadhali

abdallah hamisi says:

Umetisha sana kaka

Amani Jolam says:

umeongea poa

Maryam Maram says:

Sante sana

kenny ally says:

Baada ya kutengeneza pesa kwenye forex nazichukuaje

Don Kisanga says:

Nimekuelewa bro #kingulube

Shalom Daniford says:

nashukuru sana mkuu,nimekuelewa kwa hatua hii ya kwanza ,,, tunasubili part 2

SamLemax TV says:

ntakupataje mzee unipe mafunzo?

N.kisaando Laitayock says:

sijaielewa sana ila forex n biashara naitamani sana

munawwar wenge says:

Nakuelewa na nazd kukuelewa

Frank Phiri says:

safi sana maelezo yanaeleweka

 Write a comment

*

Do you like our videos?
Do you want to see more like that?

Please click below to support us on Facebook!